Kufungiwa miaka nane kwa Rais wa Fifa, Sepp Blatter na Rais wa Uefa, Michel Platini ndiyo jambo gumzo zaidi mitandaoni kwa sasa.
Blatter na Platini, kila mmoja amefungiwa miaka nane kujihusisha na masuala ya mpira.
Floyd Mayweather ni bondia mwenye vituko vya kujigamba kutokana na alichonacho na fedha zake ndiyo nguzo.
Bondia huyo ambaye hakupigwa katika mapambano yake 49 ya ngumi za kulipwa hadi alipotangaza kustaafu, ameendelea na mtindo wake wa kuonyesha fedha zake.
Safari hii akiwa amelala juu ya fedha hizo na warembo wakionekana kuchukua kadiri ya uwezo wao. Ehh!








0 COMMENTS:
Post a Comment