Yule kiungo Mwarabu wa Algeria aliyeipa Taifa Stars wakati mgumu katika mechi ya kuwania kucheza kucheza Kombe la Dunia jijini Dar es Salaam, amfunga mabao matatu, hat trick na kuisaidia Leicester kuiangamiza Swansea kwa mabao 3-0.
Licha ya kuwa ugenini, Leicester City imeshinda na kuonyesha soka safi, ushindi ambao umeifanya ifikishe pointi 32 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu England.
Kupoteza kwa Man City iliyopigwa 2-0 na Stoke City na sare ya suluhu ya Man United, imeifanya timu hiyo irejee kileleni.
Akiichezea Algeria katika mechi ya kwanza dhidi ya Stars ambayo ilimalizika kwa sare ya bao 2-2, Mahrez alikuwa mwiba kwa viungo wa Stars kutokana na ujanja wake katika uchezeshaji wa kikosi.
Swansea
(4-2-3-1): Fabianski 7; Naughton 6, Bartley 4.5, Williams 5, Taylor 5;
Britton 6.5 (Barrow 62, 6), Ki 4.5 (Cork 78); Ayew 6, Sigurdsson 5, Routledge 5
(Montero 46, 6.5); Gomis 4.5.
Subs not used: Emnes,
Nordfeldt, Rangel, Fernandez.
Booked: Britton, Ki
Leicester (4-4-2): Schmeichel
7; Simpson 6.5, Morgan 6.5, Huth 6.5, Fuchs 7.5; Mahrez 8.5 (Schlupp 90),
Drinkwater 6.5, Kante 7, Albrighton 7; Ulloa 6 (King 87), Vardy 7.5.
Subs not used: Okazaki,
Wasilewski, Benalouane, Schwarzer, Inler.
Booked: Kante,
Simpson, Albrighton
Referee: Michael
Oliver 5
MOM: Riyad Mahrez
Att: 20,836
0 COMMENTS:
Post a Comment