AGUERO MWANASOKA BORA JANUARI LIGI KUU ENGLAND, NI BAADA YA BAO ZAKE TANO Mshambuliaji wa Manchester City, Kun Aguero ameteuliwa kuwa mwanasoka bora wa Ligi Kuu England kwa mwezi Januari. Aguero raia wa Argentina amebeba tuzo hiyo baada ya kufunga mabao matano katika mechi nne za mwezi huo.
0 COMMENTS:
Post a Comment