Mcheza kikapu maarufu duniani, Kobe Bryant ametangaza kustaafu mchezo huo mwishoni mwa msimu wa NBA.
Kobe ametangaza wakati wa mechi ya NBA All-Star iliyofanyika jana mini Toronto.
Wachezaji nyota wa NBA kutoka ukanda wa West dhidi ya ukanda wa East walionekana kumuunga mono nyota huyo wa LA Lakers ambaye sasa ana umri wa miaka 37.
Gwiji la mchezo huo katika miaka ya 1990, Magic Johnson, nays alijitokeza kumuunga mkono Kobe.
0 COMMENTS:
Post a Comment