February 16, 2016


Mwamuzi Jonesia Rukiyaa amepewa tena waamuzi wasaidi kutoka Tanga kwa ajili ya pambano la Yanga dhidi ya Simba, Jumamosi.

Mwamuzi huyo kutoka Kagera ndiye amepangiwa kuchezesha pambano linalosubiriwa kwa hamu.


Waamuzi hao wasaidizi kutoka Tanga ni Josephat Bulali na Samwel Mtenzu.

Josephat Bulali alikuwa kati ya waamuzi wawili wasaidizi wakati Jonesia alipochezesha pambano la Yanga na Simba katika Bonanza la Nani Mtani Jembe ambalo Simba iliitwanga Yanga mabao 2-0.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic