February 16, 2016



Mwamuzi mwanadada anayeongoza kwa kumwaga kadi, Jonesia Rukiyaa ndiye atakayechezesha mechi ya watani Yanga na Simba.


Mwanadada huyo kutoka Kagera, mara ya mwisho alichezesha mechi ya watani katika pambano la Nani Mtani Jembe ambalo Simba ilishinda kwa bao 2-0.

Hata hivyo, Jonesia anasifika kwa kutoa kadi kama njugu na faulo nyingi anachoangalia ni sheria na hakuna nafasi ya busara.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic