Hamisi Kiiza akikimbia kwenda kwenye kibendera kwa ajili ya kushangilia moja ya mabao yake mawili aliyofunga katika mechi ambayo Simba iliitwanga Mgambo Shooting kwa mabao 5-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa, leo.
Pamoja na Kiiza, wengine walioiadhibu Mgambo inayopewa sifa ya kuwa ngumu kuifunga ni Mwinyi Kazimoto, Ibrahim Ajib na Dani Lyanga.
UGANDO AKIPAMBANA... |
SIMBA |
MGAMBO |
0 COMMENTS:
Post a Comment