February 3, 2016


Baada ya kupoteza ugenini dhidi ya Coastal Union, Yanga imeambulia sare ya 2-2 dhidi ya Prisons, ikiwa ugenini tena dhidi ya Prisons.

Mechi hiyo ilichezwa kwenye uwanja wenye tope baada ya mvua kunyesha mjini Mbeya kwa siku mbili mfululizo.

Yanga ndiyo waliolazimika kufanya kazi ya kusawazisha, mechi haikuwa laini hata kidogo. CHEKI PICHAAAAZ.










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic