March 17, 2016


APR inatarajia kutua jijini Dar es Salaam leo ikiwa na wachezaji 19 tayari kuivaa Yanga katika mechi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Jumamosi.

Katika mechi ya kwanza, APR ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Amahoro jijini Kigali, ililala kwa mabao 2-1.

Wachezaji ambao inakuja nao ni Kipa wawili,  Ndoli Jean Claude na Kwizera Olivier

Mabeki saba:
Rusheshangoga Michael, Emiry Bayisenge, Rwatubyaye Abdul, Rutanga Eric, Nshutinamara Ismael, Usengimana Faustin na Rwigema Yves.

Viungo saba pia:
Yannick Mukunzi, Iranzi Jean Claude, Patrick Sibomana, Djihadi Bizimana, Benedata Jamvier, Fiston Nkinzingabo, Ntamuhanga Tumaini. 

Washambuliaji watatu:
Bigirimana Issa, Mubumbyi Barnabe na Bertrand Iradukunda.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV