March 17, 2016


Bayern Munich imeshinda kwa mabao 4-2 dhidi ya Juventus na kusonga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa jumla ya mabao 6-4.

Lakini haikuwa mechi ya mchezo, kwani hadi mapumziko walikuwa nyuma kwa mabao 2-0, kipindi cha pili wakasawazisha.
Baada ya hapo, zikaongezwa dakika 30 na wenyeji Bayern wakapata majibu ya haraka kwa kufunga mabao mawili.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV