March 20, 2016

NAHODHA WA AZAM FC, JOHN BOCCO AKIWANIA MPIRA NA BEKI WA BIDVEST MAARUFU KAMA WITS KATIKA MECHI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AMBAYO AZAM IMESHINDA KWA MABAO 4-3, HIVYO KUSONGA MBELE KWA JUMLA YA MABAO 7-3. CHEKI PICHAAAAAZZZZ.
KAZI KAZI...

ABUBAKAR BAKHRESA ALIKUWEPO UWANJANI KUIUNGA MKONGO AZAM FC..

SURE BOY AKIFANYA YAKE...


KIPRE AMEPIGA HAT TRICK

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV