April 8, 2016

BADO KIUNGO WA ZAMANI WA YANGA, ATHUMANI IDDI 'CHUJI' ANAKUMBUKWA NCHINI MISRI KUTOKANA NA UMAHIRI WAKE. MAANA MASHABIKI WA TIMU YA AL AHLY WANAMKUMBUKA BAADA YA KUTENGENEZA PICHA ZINAZOONYESHA MECHI KATI YA TIMU YAO NA YANGA, HUKU WAKIMTUMIA CHUJI AMBAYE WANAAMINI NI MMOJA WA VIUNGO WAKALI KABISA.

CHUJI AMBAYE SASA YUKO MWADUI FC, ALIKUWA MMOJA WA VIUNGO MAHIRI KABISA WA YANGA, WAKATI AKISHIRIKIANA NA HARUNA NIYONZIMA, ALIIFANYA YANGA KUWA HATARI NA TISHIO HASA KATIKA KIPINDI ALICHOKUWA KWENYE FOMU.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV