July 8, 2019

3 COMMENTS:

  1. Bado Simba haijatatua tatizo la mabeki wa maana.....beki #3 anatakiwa mtu mwenye uwezo na Uzoefu wa CAF...hawa mabeki (Gadiel & Tshbalala) hawawezi kuzuia forward kali za Esperance, TP Mazembe, Raja Casablanca walioenda juu na wenye kushiba na wenye kasi....tofauti za uchezaji kwa Gadiel na Tshabalala hakuna... NARUDIA tena ni mara mia (100×) Simba tumsajili WALUSIMBI NAMBA 3 KULIKO GADIELI....TUNZA KUMBUKUMBU YA COMMENT HII MTAKUJA KUNIAMBIA.......Simba tunataka mabeki wazoefu na CAF CL....sio mabeki wa kuwazuia lipuli, Ndanda, na alliance!!....huko sie tumeshatoka.....tunadeal jinsi ya kushindana na Esperance, TP Mazembe, Raja Casablanca haswa mechi za ugenini....kwahiyo akina Gadieli hawatatusaidia kitu....hakuna tofauti na Tshabalala!

    ReplyDelete
  2. Tshanalala anatosha kabisa. Tshabalala atakaeonekana sasa si yule wa msimu uliopita. Huyu wa sasa ni mzoefu zaidi wa mashindano ya kimataifa hata Gadiel yupo vizuri tu. Ni kuwaamini na kuwaimarisha zaidi hasa katika physical fitness, watakuwa bora tu.

    ReplyDelete
  3. We ndo unasema mmeshapita, ila viongozi bado wanasajili kwa kuangalia Yanga!! Miili midogo na kutokuwa na nguvu vinatuponza kwenye michuano mikubwa!!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic