January 3, 2017


Draxler, amekamilisha usajili pauni million 34 kujiunga na PSG ya Ufaransa.

Mjerumani huyo kutoka Wolfsburg alikuwa akiwaniwa kwa juhudi kubwa na Arsenal, ambayo imemkosa.


Draxler mwenye umri wa miaka 23, ni kati ya wachezaji wanaopewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri zaidi halo baadaye.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV