Bayern Munich imeambulia sare ya mabao 2-2 dhidi ya Benfica na kufanikiwa kusonga hadi nusu fainali kwa jumla ya mabao 3-2.
Katika mechi ya kwanza ikiwa nyumbani, Bayern ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ambalo limewabeba kufuzu leo kwa kuwa mechi ilikuwa ngumu kwao huku Wareno hao wakiwa vizuri zaidi.
0 COMMENTS:
Post a Comment