April 19, 2016

Mechi ya pili ya raundi ya pili kati ya Esperance ya Tunisia dhidi ya Azam FC katika Kombe la Shirikisho inatarajiwa kuanza saa tatu kamili usiku huu kwenye Uwanja wa Olympique de Rades usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Salehjembe itakuletea mchezo huo LIVE kutoka kwenye Mji wa Rades ambao upo kilometa 9 kutoka Mji Mkuu wa Tunisia, Tunis.
Kikosi cha Azam kinachotarajiwa kuanza katika mchezo wa leo ni hiki hapa:
1. Aishi Salum
2. Erasto Nyoni
3. Wazir Salum
4. David Mwantika
5. Aggrey Morris
6. Michael Bolou
7. Ramadhan Singano
8. Frank Domayo
9. Salum Abubakar
10. John Bocco (C)
11. Farid Mussa
AKIBA
1. Mwadini Ali
2. Said Morad
3. Himid Mao
4. Khamis Mcha
5. Mudathir Yahya
6. Allan Wanga
7. Didier KavumbaguPICHA: AZAMFC.CO.TZ

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV