April 7, 2016


Wolfsburg wameonyesha si timu laini baada ya kuichapa Real Madrid kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Mabao ya Wolfsburg iliyokuwa nyumbani yalifungwa na Rodriguez na Arnold katika kipindi cha kwanza.

Kipindi cha pili ikaonekana kama Real Madrid itasawazisha lakini mambo hayakwenda hivyo baada ya kumalizika kwa dakika 90 kwa kipigo hicho cha mabao 2-0.
1 COMMENTS:

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV