April 20, 2016
Washindi wa AZAM Sports HD wakijiandaa kwenda uwanjani kuishuhudia Barcelona ikikipiga na Derpotivo la Coruna kwenye Uwanja wa Raizor hapa jijini katika Mji wa Coruna ambao upo Kaskazini Magharibi mwa nchi ya Hispania.

Uwanja wa Raizor unaomilikiwa na Derpotivo la Coruna wenye uwezo wa kuingiza watu 43,600, mchezo huo utakuwa ni wa Ligi Kuu ya Hispania ‘La Liga’, usiku huu.


Mchezo huo utaanza saa tatu kamili usiku kwa majira ya Afrika Mashariki.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV