April 28, 2016


Yanga tayari wako jijini Mwanza tayari kuwavaa Toto Afrika katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayopigwa kwenye Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza, Jumamosi.



Iwapo Yanga itashinda mchezo huo, itakuwa imejihakikishia kuwa bingwa wa Bara kwa asilimia 85.

Yanga ambayo imetua mjini Mwanza leo, itaendelea na maandalizi ya mechi hiyo tayari kabisa kumaliza kazi yake ya Kanda ya Ziwa ikianza na Toto, halafu itahamia mjini Shinyanga.

2 COMMENTS:

  1. Du!safari hii itabidi simba na Azam watuombe ili mmoja tumuachie acheze shirikisho mana tunachukua vikombe vyote.Usisahau kupitia pia MUKEBEZI BLOG au bonyeza hapa shareinfogrouptanzania.blogspot.com

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bora AZAM,wa mchangani wataendelea kuisoma namba.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic