ALVES (KULIA) AKIWA NA SALEHJEMBE |
Beki mkali wa kulia wa Barcelona, Dani Alves anatarajia kujiunga na Juventus ya Italia kwa ajili ya msimu ujao.
Raia huyo wa Brazil aliyeichezea Barcelona kwa mafanikio makubwa, anatarajia kujiunga Juventus kwa kitita cha pauni million 5.3.
Tayari Alves ana miaka 33, lakini ni kati ya mabeki bora kabisa wa kulia kuwahi kutokea katika kikosi cha Barcelona na Brazil pia.
0 COMMENTS:
Post a Comment