May 7, 2016

Nahodha wa Manchester City,  Vincent Kompany ataikosa michuano ya Euro 2016.

Kompany aliumia katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid.


Imeelezwa Kompany ataikosa michuano hiyo ambayo angeshiriki akiwa na Ubelgiji ambayo pia yeye ni nahodha.

Kompany alianguka mwenyewe, baada ya halo akatolewa nje na nafasi yake kuchukuliwa na Mangala.

Michuano ya Euro 2016 inafanyika nchini Ufaransa na Ubelgiji ni kati ya timu zinazopewa nafasi kufanya vizuri.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV