May 7, 2016


Baada ya timu yao kukabidhiwa Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu England, hivi ndivyo namna mashabiki wa Leicester City walivyokuwa na furaha kuu.

Hakuna aliyejua mashabiki hao mwishoni mwa ligi wangekuwa hivi; huenda ilionekana wangekuwa katika hatihati ya kuwania kuepuka kuteremka daraja. Lakini soka, haliaminiki na halitabiriki.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV