May 18, 2016


Aliyewahi kuwa mmoja wa viongozi wa Yanga, Godson Karigo amevamiwa na mashabiki wa Esperanca wakimtaka asiishangilie Yanga.

Mashabiki hao wamemzuia Karigo kuishangilia Yanga wakati inaivaa Esperanca katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Hata hivyo, Karigo amepinga hilo na kuendelea kushangilia. Baadaye walinzi wa uwanja pamoja askari wameingilia kati.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV