May 29, 2016

 Kikundi cha Taifa Stars Supporters tayari kipo jijini Nairobi, Kenya kuiunga mkono timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars.

Memba wa kikundi hicho watawaongoza mashabiki leo kwenye Uwanja wa Moi Kasarani jijini Nairobi itakapokuwa ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Kenya.

Mechi hiyo inatarajiwa kuwa ya upinzani kutokana na historia kisoka kati ya nchi hizi mbili na kikundi hicho cha kujitolea kimezidi kuonyesha moyo wa uzalendo kupitia memba wake.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV