June 26, 2016


Pamoja na kuonekana ina mwendo wa kusua lakini Ureno imefanikiwa kufuzu kucheza robo fainali ya Euro ikiwa ni baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu ngumu ya Croatia.

Ureno inayoongozwa na nahodha wake Cristiano Ronaldo, ilipata bao pekee katika dakika ya 117 baada ya Ronaldo kupiga shuti kali, kipa akatema na Ricardo Quaresma akamalizia kwa kichwa.


Croatia (4-2-3-1): Subasic, Srna, Corluka (Kramaric 120), Vida, Strinic, Modric, Badelj, Brozovic, Rakitic (Pjaca 110), Perisic, Mandzukic (Kalinic 88) 
Subs not used: Vargic, Vrsaljiko, Jedvaj, Kovacic, Kalinic, Schildenfeld, Rog, Coric, Cop

Portugal (4-2-3-1): Rui Patricio, Soares, Pepe, Fonte, Guerreiro, Joao Mario (Quaresma 87), Adrien Silva (Danilo 108), Carvalho, Andre Gomes (Renato Sanches 50), Nani, Ronaldo
Subs not used: Bruno Alves, Joao Moutinho, Eder, Vieirinha, Lopes, Rafa Silva, Eliseu, Eduardo
Booked: Carvalho
Scorers: Quaresma 117 0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV