June 2, 2016


Mchezo wa kufuzu Michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon 2017) wa Kundi G unatarajiwa kupigwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa Dar, ambapo utachezeshwa na mwamuzi Meya Bastred akisaidiana na Mihndou Gauthar na Vinga Theophil na mwamuzi wa mezani ni Oboga Eric, wote kutoka nchini Gabon. Katika kundi hilo Misri ndiyo wanaongoza wakiwa na pointi saba wakifuatiwa na Nigeria wenye pointi mbili Tanzania ni ya tatu ikiwa na pointi moja, hivyo inahitaji ushindi ili kuwa na matumaini ya kufuzu.

1 COMMENTS:

  1. Kama ni maajabu sawa ila timu ya 136 ni vigumu kuizuia ya 45 kwa ubora dunian. najua wengi watalipinga lakini huo ndio ukweli.

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV