June 10, 2016


Baada ya kocha wa Uruguay kumuweka nje kabisa na kupata uhakika hataingia, Luis Suarez alipatwa na hasira na kutaka kuvunja benchi kwa kuwa alitaka kucheza mechi ya Copa America dhidi ya Venezuela.

Uruguay imetolewa katika michuano hiyo inayoendelea nchini Marekani baada ya kuchapwa bao 1-0 dhidi ya Venezuela na Suarez alipandisha mzuka ile mbaya.

Suarez ni majeruhi, walijitahidi kutaka kucheza lakini ikashindikana. Mwisho kocha akamtoa na Colombia ikatolewa baada ya kupoteza mechi ya pili mfululizo.

Uruguay: Muslera 6; M Pereira 6, Gimenez 6, Godin 6.5, Silva 5.5; A Gonzalez 5 (Corujo 80), Sanchez 6 (Lodeiro 78), Rios 5.5, Ramirez 7 (Rolan 73); Stuani 5, Cavani 3
Subs not used: Campana, Fucile, Pereira, Laxalt, Hernandez, Victorino, Lodeiro, Corujo, Rolan, Martin Silva
Venezuela: Hernandez 6, Rosales 6 (A Gonzalez 8, 6.5), Angel 6.5, Vizcarrondo 7, Feltscher 6.5; Rincon 6.5, Figuera 6 (Otero 78), Guerra 8, Penaranda 6; Rondon 7.5 (Seijas 78), Martinez 6.5.


Subs not used: Contreras, Villanueva, Velazquez, Del Valle, Otero, Anor, Seijas, Suarez, Santos, Gonzalez, Herrrera, Farinez
Booked: Martinez, Figuera
Goals: Rondon 36 
Referee: Patricio Loustau (Argentina)
Attendance: 23,002 

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV