June 6, 2016

DANTE WAKATI AKISAINI KUICHEZEA YANGA, LEO.
Kiungo mkabaji na beki wa Mtibwa Sugar, Andrew Vicent ameahidi atapambana hadi atakapokuwa sehemu ya kikosi cha kwanza cha Yanga.

“Nitapambana kuwa sehemu ya kikosi cha kwanza, lakini ninajua Yanga ni timu yenye kikosi chenye ushindani sana,” alisema.


Kiungo huyo anatua Yanga huku ikiwa na tatizo la kiungo mkabaji na huenda akawa ni sehemu ya kusaidia marekebisho ya tatizo hilo.

1 COMMENTS:

  1. Yanga wanaharibu vipaji vya wachezaji kwani wengi wanasajiliwa ili kuikomoa Simba na si mahitaji halisi ya kocha!huyo hatocheza hapo ila atakuwa akichukua mshahara na kutolewa kwa mkopo Mtibwa!

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV