July 17, 2016Azam FC inaonekana bado haijaridhika sawa kuhusiana na safu yake ya ulinzi baada ya kumshusha beki ‘kitasa’ kutoka ncini Niger kufanya majaribio.

Mohamed Chicoto amewasili jana kuanza majaribio chini ya Kocha Zeben Hernandez raia wa Hispania akiwa na jopo lake.

Wachezaji kadhaa wamekuwa wakitua Azam FC hasa kutokea Afrika Magharibi kwa ajili ya kufanya majaribio ili kupata nafasi ya kuitumikia timu hiyo msimu ujao.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV