July 19, 2016


Kocha wa zamani wa Everton na Manchester United, David Moyes amepata dili la kuwafundisha makocha nchini Jordan.

Moyes ambaye aliwahi kuinoa Real Sociedad ya Hispania amekuwa akiwanoa makocha hao wa nchini Jordan ili kuwaongezea ujuzi.


Pamoja na makocha wengine lakini zaidi Moyes amekuwa akiwanoa makocha wa timu za taifa za Jordan.

MECHI ALIZOFUNDISHA MAN UNITED
Played: 51
Won: 27
Drawn: 9
Lost: 19
Win percentage: 52.94 


MECHI ALIZOFUNDISHA HISPANIA
Played: 42
Won: 12
Drawn: 15
Lost: 15
Goals for: 48
Goals against: 52
Win percentage: 28.6

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV