July 16, 2016


Wakongwe na nyota mbalimbali wa soka wamekutana katika michuano ya Futsal inayofanyika nchini India.

Futsal ni mpira unaochezwa kwenye uwanja wa ndani na Ryan Giggs na Ronaldinho ni kati ya wanaoshiriki wakiwa katika timu tofauti. Pia kuna nyota wengine kama Herman Crespo, Paul Scoles na wote wamechukuliwa ikiwa ni juhudi za kuinua mchezo huo nchini India.

MASTAA NA TIMU ZAO KATIKA MICHUANO HIYO YA FUTSAL:
Chennai - Falcao
Mumbai - Ryan Giggs
Kolkota - Hernan Crespo
Goa - Ronaldinho
Bangalore - Paul Scholes
Kochi - Michel Salgado 

RATIBA:
July 15: Chennai v Mumbai; Goa v Kolkota
July 16: Mumbai v Kochi; Kolkata v Bangalore
July 17: Bangalore v Goa; Kochi v Chennai
July 18: Rest day
July 19: Kolkota v Goa; Mumbai v Chennai
July 20: Bangalore v Kolkota; Kochi v Mumbai
July 21: Goa v Bangalore; Chennai v Kochi
July 22: Rest day
July 23: Semi-finals
July 24: Closing ceremony and final 


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV