July 3, 2016

Huu ndiyo mwonekano wa sasa wa Kocha wa Inter Club ya Angola, Zdravko Logarusic ambaye ni kocha wa zamani wa Simba.

Logarusic ambaye timu yake imekuwa na mwendo mzuri kiasi katika Ligi Kuu Angola, safari hii anaonekana akiwa na miwani tofauti na hapo awali.


Anaonekana akiwa mwenye furaha, akifurahia kahawa yake huku yeye akisisitiza ni wakati wa “kujiachia”.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV