Benchi la Ufundi la Azam FC linaloongozwa na Wahispania, limeendelea na kazi yake mjini Zanzibar kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara.
Lakini moja ya kazi hiyo ni kuhakikisha beki, Shomari Kapombe anarejea katika kiwango chake.
Kapombe alionekana ana kitambi na kuzua gumzo. Lakini kukaa kwake nje kwa zaidi ya miezi miwili kulisababisha yeye kuongezeka uzito kwa kasi.
0 COMMENTS:
Post a Comment