July 21, 2016


Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kikosi chake kinaendelea na maandalizi ya Ligi Kuu Bara kwa umakini mkubwa.

Bwire amesema ana matumaini makubwa kuwa kikosi chake kitafanya vizuri kama ilivyokuwa kwa Leicester City kwenye Ligi Kuu England, msimu uliopita.

“Maandalizi yetu yanakwenda vizuri na kila kitu kipo katika mpangilio mzuri kabisa,” alisema Bwire ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi.


Bwire amesema vijana wa Shooting wana ari ya kufanya vema baada ya kupambana na kufanikiwa kurejea Ligi Kuu Bara.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic