July 2, 2016


Omary Masoud amepata ajali ya pikipiki leo asubuhi jijini Dar es Salaam na kupoteza maisha.

Huyu ni mpigapicha wa Azam TV ambaye alijulikana kwa ucheshi wake kwa karibu kila mtu.

Omary maarufu kama Ommy si pengo kwa Azam TV pekee, bali kwa wadau wote wa habari nchini.


Mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu za kaburi pia tunamuomba amlaze mahali pema peponi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV