Kikosi cha Borussia Dortmund cha Ujerumani kimeanza maandalizi ya msimu mpya wa Bundesliga kikiwa kimepania kurejesha heshima na kubeba ubingwa.
Dortmund ambao wamesajili wachezaji wapya ambao wanaamini watasaidiana na waliopo kukifanya kikosi chao imara, safari hii wamekuwa wakizunguka na ndege aina ya Air Bus iliyopambwa kwa rangi za timu hiyo, yaani njano na nyeusi.
WACHEZAJI WAPYA:
Mikel Merino KUTOKA Osasuna
Ousmane Dembele KUTOKA Stade Rennais
Marc Bartra KUTOKA Barcelona
Sebastian Rode KUTOKA Bayern Munich
Emre Mor KUTOKA Nordsjaelland
Raphael Guerreiro KUTOKA Lorient
0 COMMENTS:
Post a Comment