August 15, 2016


Baada ya kushinda mbio za mita 100 na kuendeleza ubabe wa kuwa mwanadamu mwenye kasi zaidi duniani, Usain Bolt amesema hakutegemea kusikia mashabiki wakimzomea mpinzani wake Justin Gatlin.


Bolt amesema alishangazwa kusikia mashabiki wakimzomea kwa nguvu sana Gatlin kutoka Marekani ambaye ni mpinzani wake mkubwa.

Katika ya mchuano huo, Gatlin alitangaza kuwa ulikuwa ni mwisho wa Bolt kutamba.


Mmarekani huyo alishika nafasi ya pili baada ya Bolt kumzidi kasi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV