August 13, 2016Inawezekana uliwasikia wachambuzi wengi wa soka hasa hapa Tanzania wakisema leo ni kazi nyepesi kabisa kwa Leicester ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England kwa kuwa wanakutana na Hull City wakati wa ufunguzi wa ligi hiyo.


Lakini ukweli ni kwamba, walikosea maana mechi yenye imeisha kwa Leicester ambao ni mabingwa watetezi wa England kuambulia kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Hull City ambao ni maarufu kama Chui wakati wao wanatumia alama ya mbweha.

HULL CITY (4-1-4-1): Jakupovic 6; Elmohamady 6.5, Livermore 6.5, Davies 6.5, Robertson 6; Clucas 6.5; Snodgrass 7.5, Meyler 6, Huddlestone 6, Diomande 7.5; Hernandez 6.5
Subs not used: Kuciak, Maloney, Tymon, Bowen, Luer, Olley, Clackstone
Goals: Diomande 45+1, Snodgrass 57
Booked: Davies, Clucas 
LEICESTER CITY (4-4-2): Schmeichel 6; Simpson 6.5 (Ulloa 83), Hernandez 5.5, Morgan 5.5, Fuchs 6.5; Mahrez 6.5, King 6 (Amartey 68, 6), Drinkwater 6, Gray 6 (Okazaki 68, 5.5); Musa 6.5, Vardy 5.5
Subs not used: Zieler, Chilwell, Albrighton, Kapustka
Goal: Mahrez 47 
Booked: Fuchs, Simpson 
Referee: Mike Dean 6
Attendance: 21,037 
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV