Simba ilianza Ligi Kuu Bara msimu wa 2016/2017 vizuri kwa kupata ushindi wa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana Jumamosi. Hivi ndivyo ilivyokuwa, lakini habari nyingine ni kuwa Kocha wa Yanga, Hans van Pluijm alikuwepo kuwashuhudia wapinzani wake hao ambao wanaonekana kuanza kwa kasi msimu huu.
Kocha wa Yangaakiwa jukwaani akiishuhudia Simba, jana |
Kikosi cha Simba |
Timu zikiingia uwanjani |
Mavugo baada ya kufunga bao la kwanza. |
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la Mavugo |
Ajibu wa Simba akibanwa na walinzi wa Ndanda. |
0 COMMENTS:
Post a Comment