Mshambuliaji Ame Ali Zungu ambaye blog hii ilikuwa ya kwanza kuandika kuwa ametua Simba, ameanza mazoezi na kikosi cha Simba mjini Morogoro tokea juzi.
Ingawa kuna baadhi ya viongozi wa Azam FC walikanusha kwamba Zungu anaendelea kubaki Azam FC na hana mpango wa kuondoka, taswira inaonyesha akiendelea kujifua na wenzake mjini Morogoro baada ya kujiunga nao.
Simba imeweka kambi mjini Morogoro chini ya Kocha Joseph Omog raia wa Cameroon
0 COMMENTS:
Post a Comment