Klabu ya Al Nahdha wamempa mshambuliaji wao mpya Kipre Tchetche jezi namba 10, kama ile aliyokuwa akiitumia katika kikosi cha Azam FC.
Kipre aligoma kurejea Azam FC ambayo ilitangaza kuwa na mkataba naye wa mwaka mmoja zaidi. Lakini siku chache zilizopita Azam FC iliikabidhi jezi namba 10 kwa raia wa Ghana, Enock Atta Agyei.
0 COMMENTS:
Post a Comment