September 5, 2016


Taswira tatu, Azam FC wakizikagua nyasi za Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya kabla ya mechi ya keshokutwa ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Prisons.

Mechi hiyo inasubiriwa kwa hamu na tayari Azam FC wako jijini Mbeya kwa ajili ya mechi hiyo.

Kocha Zeben Hernandez raia wa Hispania, ndiye aliongoza kazi hiyo ya ukaguzi wa nyasi za uwanja huo.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV