September 5, 2016


Walinzi katika mazoezi ya kikosi cha timu ya taifa ya Brazil walilazimika kufanya kazi ya ziada kumuondoa shabiki aliyevamia na kumng'ang'ania nahodha wa timu hiyo, Neymar.

Shabiki huyo alifanikiwa kumfikia Neymar na kumkumbatia kwa nguvu, hali iliyofanya walinzi hao kumtoa kwa nguvu.


Brazil ilikuwa katika maandalizi yake ya mwisho kuwania kucheza Kombe la Dunia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV