September 22, 2016


Na Saleh Ally
Hii si picha tu, ni shule, ni ukweli, ni hisia zisizofichika kati ya hasira na unafiki. Macho hayawezi kusema uongo, ukiwatazama kila mmoja usoni mwake utapata hali halisi. Toure kamwe hawezi kucheza Man City tena, si kwa sababu ya uwezo, ila kwa kuwa moyo na fikra za Guardiola hazitaki....God Kill Personal Desire against reality.

Ukitaka uende ndani, utaona Yaya Toure hana makosa, lakini unajiuliza kuna kile ambacho aliwahi kumkosea kocha huyo Mhispania.

Kwa nini kocha huyo anaonyesha hisia zake wazi, kweli Yaya anastahili dhaharau na mateso baada ya kuwa mpambanaji aliyeipa heshima kubwa Man City ambayo haikuwa na makombe kwa takribani miaka 50.


Guardiola, kazidiwa na hisia, mambo binafsi ambayo yanaharibu kazi ya Toure kwa kuwa mmoja ni bosi. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV