September 11, 2016

Baada ya Yanga kupata ushindi wa mabao 3-0, leo Jumapili, Simba inatarajiwa kuwa na mtihani mgumu kwa kuvaa Mtibwa Sugar ya Morogoro.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ambapo Simba ina pointi saba katika michezo mitatu wakati Mtibwa ikiwa na pointi sita.

Simba imeshinda michezo miwili na sare moja, Mtibwa imeshinda mechi mbili na kufungwa mmoja. Kikosi cha Simba cha leo kinatarajiwa kuwa hivi:
 


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic