September 11, 2016

Yanga iliichapa Majimaji mabao 3-0, jana kwenye Uwanja wa Uhuru, wafungaji wa Yanga wakiwa ni Deus Kaseke na Amiss Tambwe aliyefunga mabao mawili.

Katika mchezo huo, Majimaji haikuonyesha upinzani mkali hasa kipindi cha pili ambacho Yanga ilitawala sehemu kubwa ya mchezo huo.

Pichani ni sehemu ya matukio yalivyokuwa katika mchezo huo:
 

Benchi la Yanga

Timu zikiingia uwanjani kuanza kipindi cha kwanza.

Msuva akijiandaa kupiga penalti ambayo iligonga mwamba na kurejea uwanjani.

Tambwe akiwa katika purukushani uwanjani.

Kaseke na Msuva wakimpongeza Tambwe baada ya kufunga.

Kocha wa Yanga, Hans van Pluijm mara baada ya mechi.

Kikosi cha Yanga kilichoanza katika mchezo wa leo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV