September 27, 2016


Mbao FC wamepatamba watawasimamisha Ndanda FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara, kesho.

Mbao FC watakuwa wenyeji wa Ndanda kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza katika mechi inayosubiriwa kwa hamu.

Msemaji wa Mbao, Crisant Malinzi amesema wamejiandaa vizuri na kamwe hawatishiki na Ndanda FC kuibwaga Azam FC.

“Tumejiandaa vizuri na tutafanya vizuri na kushinda. Vijana wako tayari na hatuna hofu na suala la  wao kuwafunga Azam FC,” alisema.

Mbao FC ndiyo imepanda daraja msimu huu. Lakini abdo haijawa na mwenendo mzuri.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV