September 6, 2016

KOCHA MKUU WA YANGA, HANS VAN DER PLUIJM

Kikosi cha Yanga, kimeondoka jijini Dar es Salaam leo alfajiri kwenda mjini Mtwara kwa ajili ya mechi yake ya kwanza ya ugenini, msimu huu.

Yanga imeindoka na basi lake na inatarajia kufanya mazoezi mepesi leo jioni kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.
Kazi itakuwa ni kesho wakati Yanga itakapowavaa Ndanda FC ambao tayari wametamba kuipa Yanga kipigo hiyo kesho.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV