October 31, 2016


Wanasoka wawili nyota nchini, Hassan Kessy na Asha Rashid maarufu kama Mwalala, wamekuwa karibu kitambo na wamekuwa wakionekana kuongozana kama wafanyavyo ndege.

Taarifa zinaeleza wawili hao ni wapenzi ingawa wao wamekuwa hawataki kuweka mambo hadharani sana.


Picha hii, ni kati ya picha zinazovutia kwa leo, Kessy wa Yanga na Asha aliyetamba na Sayari, timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, wakiwa pamoja.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV