October 10, 2016
Uongozi wa Yanga SC unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzao, Misha Msonge kilichotokea mchana huu katika hospital ya Lugalo jijini Dar es salaam.

Msonge alikuwa akishughulikia masuala mbalimbali katika klabu ya Yanga, pia wakati mwingine katika kikosi cha Yanga ambao ni mabingwa wa Tanzania Bara kwa misimu miwili mfululizo.

Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa juu ya mazishi.

Imetolewa na idara ya habari na mawasiliano yanga. 


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV